VIEW PESA ni mtandao ambao una rahisisha kutangza matangazo. VIEW PESA hutoa zawadi kwa kufanya malipo ya fedha kwa wanachama wake ambapo mwanachama hutakiwa kufanya shughuli za kila siku mtandaoni kama kutizama matangazo,
View pesa ilianzishwa mnamo mwaka 2020
Ndiyo, kwa sasa tuna hudumia wakazi wote wanaoishi tanzania pekee
Fuata hatua zifuatazo >Hakikisha ume jisajili >Kisha log in >Elekea kwenye menyu >Chagua my account >Chagua with draws >Bonyeza alama ya bluu ya kujumlisha >Chagua kama unataka kutoa kwa Mobile money au Benki >Ingiza namba ya simu / account namba ya benki >Weka password yako ya view pesa >Bonyeza CONFIRM
Fuata hatua zifuatazo >Hakikisha ume jisajili >Kisha log in >Elekea kwenye menyu >Chagua my account >Chagua edit profile > Badili taarifa zako >Bonyeza kitufe SAVE
Fuata hatua zifuatazo >Hakikisha ume jisajili >Kisha log in >Elekea kwenye menyu >Chagua my account >Chagua CHANGE PASSWORD >Badilisha password yako >Bonyeza SAVE
Fuata hatua zifuatazo >Hakikisha ume jisajili >Kisha log in >Elekea kwenye menyu >Chagua my account >Chagua DASHBORD >Hapo utaweza kuona idadi ya matangao ulio tizama na kiasi cha pesa ulicho zawadiwa